title-image
Shirikiana Nasi

Kuza Nishati Safi Pamoja

Tunashirikiana na NGOs, taasisi za serikali, na mashirika binafsi ili kupanua upatikanaji wa nishati safi ya kupikia kote Tanzania.

Migahawa na Hotel

  • Moto wa kudumu
  • Okoa gharama kwa 40%
  • Upatikanaji wa uhakika

  • Mashule na Taasisi

  • Punguzo kwa wingi
  • Uwasilishaji wa kila mwezi
  • Salama kwa jikoni

  • Tanzania inachagua: “kwa maisha bora''