-
Visit Us:
1200+
Miti huokolewa kila mwaka
Haina Moshi. Inadumu. Nafuu.

EcoPower Solutions Ltd ni kampuni ya nishati safi inayomilikiwa na Watanzania, yenye dhamira ya kufanya nishati salama ya kupikia ipatikane na iwe nafuu kwa kila mtu. Tunajikita katika utengenezaji wa mkaa wa biomasi na majiko bora kwa matumizi ya nyumbani, wauzaji wadogo, shule, migahawa, na taasisi.
Kubadilisha Nishati ya kupikia yenye madhara na gharama kubwa kwa suluhisho endelevu linalo okoa pesa, kulinda mazingira, na kuboresha afya ya jamii kote Tanzania.
Nishati safi kwa kila nyumba ya Kitanzania. Hakuna moshi. Hakuna ukataji miti. Hakuna taka.
Miti huokolewa kila mwaka
Ajira zimeundwa
Familia zimehudumiwa
Magonjwa ya kupumua yamepungua
za misitu/mazao → Mkaa safi
Hudumu mara 3. Moshi pungua kwa 70%.
Miti 100 huokolewa kila mwezi.
Hakuna moshi tena jikoni kwangu
Nimepunguza gharama za mafuta kwa nusu
Uwasilishaji wa kila mwezi bila kukosa.